HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 May 2013

ROMA YAKUNG'UTWA EURO 50000 SAWA NA PAUNI ELFU 42,400 KWA UBAGUZI WA RANGI

Serie A match between AC Milan and Roma halted because of racist chanting
 Klabu ya soka ya AS Roma imekung'utwa faini ya EURO  50,000  Sawasawa  (£42,400)  baada ya kutoa kelele zinazoashiria ubaguzi kumbagua mchezaji wa  AC Milan.mario baloteli baada ya kwenda suluhu ya kutokufungana hapo jana ambapo mchezo huo ulisimama kwa dakika mbili baada ya mashabiki wa roma kufanya kitendo cha kibaguzi
.Kocha wa AC Milan  Massimiliano Allegri amesema kuwa kunahitaji kutolewa adhabu kubwa zaidi ilikuleta picha nzuri kwa soka ya italia  . 
Aidha klabu ya soka ya AS roma imeomba radhi kwa kitendo ambacho mashabiki wake wamekifanya .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers