HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 May 2013

SASA HII NI KUFURU POMBE YA BEI GHARI LAKINI HAWA WAMEOGA

Schweini gets a beer shower!
 
Unaweza kufikiri ni utani lakini sio utani tazama picha hiyo hapo juu unaweza kusema huu ni mwezi oktoba ambapo ni maalum kwa wajerumani kunywa bia na kusherekea siku ya bia lakini hapa sivyo mwezi huu ni mwezi wa tano ambapo Bayer munchen ya Ujerumani wakishangilia na unayemuona pichani   Bastian Schweinsteiger ambaye anakoga pombe !
Bayern Munich iliifunga  Augsburg 3-0 katika mechi yao  ya mwisho ya msimu huu , wakitwaa taji la ubingwa wa ujerumani  walilochukua siku nyingi mara ya  kuutwaa ubingwa huo , Daniel van Buyten aliamua kumuaogesha kiuongo huyo wa  Ujerumani .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers