HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 May 2013

TAZAMA MAMBO YANAVYOENDELEA WEMBLEY MUDA HUU

 Dortmund and Bayern promise final masterclass
Huu ni uwanja wa Taifa wa Uingereza Wembley sehemu ambayo itachezwa fainali ya mabingwa ulaya leo
  

 

Ushingae kumuona kocha wa  Aston Villa kariabu sana na fainali hii ya mabingwa ulaya (Ingawaje aliwahi kutwaa taji hilo  1982...),lakini   Paul Lambert,aliwahi kushinda ligi ya mabingwa barani ulya akiwa kama mchezaji  wa Dortmund  mwaka  1997, alikuwa karibu na  Jurgen Klopp katika mazoezi hapo jana 

JUP HEYNKES akufurahishwa sana na hari ya hewa 
 
 


Hawa ni baadhi ya mashabiki wakiwa katika njia za treni jijini London walipokuwa wakiatazama basi la BVB hapo jana

Hivi ndivyo namna mpambano huu utakavyo tangazwa  katika vyombo kadhaa vya habari hawa unaona waona ni skysport ya uingereza

Wachezaji wa Timu ya soka ya  Bayern wakiwa ndani ya basi wanapata joto. huku waandishi wa habari wakisubiri  Jurgen Klopp ,Mats Hummels na  Sebastian Kehl waweze kuulizwa maswali .
 

Kocha wa  Aston Villa  (Na aliyewahi kuwa kiungo wa timu hiyo ) Paul Lambert akiwa katika mstari wanapo simama  wakufunzi akaiwa pamoja na  Jurgen Klopp.Huku wachezaji wakiwa wakusanyika kiwanjani wakiwa wanafanya mazoezi  katika uwanja wa  Wembley.
 

FAINALI NJEMA

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers