HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 May 2013

TFF YATAKA KUANDA KOMBE LA DUNIA LA VIJANA U20 ,2017


 
Shirikisho la soka Tunisia TFF linatarajia kupeleka maombi ya kuandaa kombe la dunia la vijana mwaka  2017  la U20 .
Uamuzi huo umekuja baada ya kamati ya utendaji ya chama hicho uliofanyika jijini TUNIS siku ya jumanne.
Taifa hilo la afrika ya kaskazini linataka kuandaa mashindano hayo kwa mara ya pili  baada ya kuandaa kwa mara ya kwanza mwaka 1977.
Kombe la dunia la vijana linatarajia kuanza mwaka huu wa 2013 ambalo litafanyika mwaka nchini Uturuki  mwaka  kuanzia  June 21 na  July 13, huku  Egypt, Ghana, Mali na  Nigeria zikiiwakilisha Africa.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers