HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 May 2013

WENGER:AFUNGUKA RASMI KUHUSU FERGUSON DUH NI MSIRI SANA


 

Kocha wa klabu ya soka ya arsenal  ya  Arsenal anasema aliona dalili za kuwa msimu huu utakuwa wa mwisho kwa   Fergie’  — baada ya wawili hawa kumaliza dili ya kuuziana mchezajia aliyeigharimu  pauni £24m klabu ya Manchester united Robin van Persie.
Ferguson na Wenger’ ambao ni mahasimu wakubwa  — hasa katika miaka ya mwishoni mwa  90s na mwanzoni mwa  2000 — ambao walihawi kutengeneza baadhi ya mechi za kuvutia katika ligi  kuu ya uingereza ambazo zilivutia watu na mashabiki kwa ujumla .
Lakini Wenger anasema kuwa hakushangazwa pale Ferguson alipotangaza kuwa   May 8 angestaafu: wenger  “Niliwaambia maafisa wangu kuwa muda mrefu kuwa nadhani mwaka huu utakuwa mwaka wa mwisho kwa  Alex Ferguson’s, kwa hiyo sikushangazwa kabisa .
“Niliona Ishara nyingi sana msimu huu, na zilikuwepo ishara moja msimu huu na zilishaanza ,kuwa ingekuwa msimu wa mwisho kwake  .



VIDEO KWA MSAADA WA THE SUN UK

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers