HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 June 2013

Didier Drogba ANUNUA MGODI WA DHAHABU WA PAUNI BIL MOJA NCHNI KWAO

Ity Mine
Mchezaji wa zamani wa  Chelsea  Didier Drogba amewekeza kwenye mgodi wa dhahabu Nchini kwao  Ivory Coast ,Dalili zinanyesha tangu nchi hiyo iondokane vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyokuwa ikipiganwa kwa zaidi ya muongo mmoja  na kumalizika mwaka  2011 .
Drogba, ambaye kwa sasa anachezea  timu ya  Galatasaray baada ya kutumikia miaka nane katika timu ya chelsea  kandarasi iliyomalizika mwaka uliopita , atakua akichukua asilimia tano waziri wa mawasiliano wa nchi hiyo  Bruno Kone amesema wiki hii  .
Hakuna taarifa zozote za kifedha katika dili hiyo ,Ambayo ni moja ya kati makubaliano ya kifedha na kampuni ya  Canada ambayo imeongeza hisa katika mgodi huo ,huku kampuni ya taifa ya nchi ikiuza moja kati shea zake .

Drogba ni shujaa wa kitaifa hapa nyumbani, ameiongoza  Ivory Coast katika michuano ya kwanza ya kombe la dunia  nchini  Ujermany mwaka  2006.
maisha yake ya kisoka pale  Chelsea yana maana kubwa hasa baada ya ushindi dhidi ya  Bayern Munich katika ligi ya mabingwa barani ulaya ,na kufunga penati ya ushindi.
na amefanya vitu vingi vya kiubinadamu , hasa kusaidia kupunguza fujo katika serikali na waasi kaskazini mwa nchi hiyo .
Kone anasema kuwa mgodi wa  Ity  ulikuwa umeanza kudhoofika mara baada kufa kimiuondo mbinu.'

Sodemi inazalisha aslimia  14 kati ya arobaini  na nne  44, na kampuni ya  Canada  La Mancha inazalisha asilimia  55 baada  46 , ambao ni mgodi uliopo magharibi mwa nchi karibu kabisa na Nchi ya Liberia na ndio Mgodi mkongwe kabisa nchini humo .
Mwenyekiti wa La Mancha Naguib Sawiris -Ambaye ni tajiri wa  kutoka Masir  ambaye anajuliakan na kampuni yake ya usafi wa mazingira amesema kuwa mgodi uliuokuwa ukimilikwa na kampuni hiyo toka mwezi March mwaka huu .kwa hiyo ni jambo jema kwa mchezaji huyu kuwekeza hapa

Precious metal: The striker was more used to silver than gold in his illustrious Chelsea career
Investment: The mine has produced more than 800,000 ounces of gold since production started in 1991

Helping out: Production had slowed and Drogba's investment should help to kick start production

National hero: Drogba is loved in his home country not only for football but for his humanitarian work
On the up: Total gold production in the Ivory Coast stood at 12 tonnes in 2012 but that is set to rise to 25 tonnes by 2015
Ity gold mine facts  
Location: 700km west of Abidjan, Ivory Coast
Type of mine: Open pit
Total gold production since opening (1991): 800,000 ounces
Approximate value of gold produced (by 2013 prices): $1.1billion
Didier Drogba's stake in the mine: Five per cent


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers