HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 June 2013

Laurent Koscielny BAYERN MUNICH ALABA ARSENAL


 


Arsenal imewapa masharti mabingwa wa ulaya kuwa kama wanatamka Laurent Koscielny. basi wao wapatiwe  David Alaba katika offa yoyote ambayo  Bayern Munich watatoa kuhusu Mfaransa huyo.Kocha wa Gunners  Arsene Wenger ambaye ni kipenzi kikubwa cha mchezaji huyo raia wa  Austria umesema mtandao wa , s Tz, na atamchukua mchezaji huyo kama kiungo  -seshemu amabayo yeye mweneyewe anaipenda  .
"kwani klabu yake ya sasa inamuaoana kama beki wa pembeni ,lakini  binafsi namuona ni kama kiungo  ,"  Alaba hivi karibuni amekuwa mkimya . ", lakini kwa sasa anaonekana kama mbadala kucheza sehemu ya kiungo  Bayern."
Huku  Bayern wakimtaka  Koscielny, Wenger anasema Alaba atajumuisha kwenye mapango huo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers