HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 June 2013

SOKA YA ARGENTINA NA VITUKO KADHAA UWANJANI !!

Dog-hurling preview 


Mchezaji wa Kiargentina aliushangaza umma baada ya kumdaka mbwa shingoni na kumtupa kwenye uzio wa waya wa uwanja huo baada ya mbwa huyo kuingia kiwanjani na kuanza kukimbia  .
Mchezaji huyo alichukua jukumu hilo baada ya kiumbe hicho kuingia kiwanjani katika mechi ya ligi daraja la pili kati ya San Juan na  Bella Vista huko  Tucuman, Argentina.

baada ya kuingia kwenye uwanja na kulala kwenye nyasi ,Mchezaji wa  Bella Vista  alimkamata mchezaji huyo na kukimbia nae mita kadhaa na kumrusha kwenye uzio huo
Space invader: A dog wanders onto the pitch during a match between Bella Vista and San Juan in Argentina
Ejected: The footballer then tries to hurl the animal over a barrier and into the crowd
Ouch: The dog, however, doesn't make it over the barrier and instead crashes into the fence
Lucky: The animal bounces off the fence and lands awkwardly, but was able to run off apparently unharmed

 
Lakini Mbwa huyo aligonga kwenye uzio huo wa waya na kurudi tena kiwanjani  .
Ghalfa Mbwa huyo alirudi tena uwanjani na inaonyesha hakuumia sana mashabiki wa san jose hawakufurahia  kitendo hicho na kuanza kurusha .vitu visivyojuliakana kiwanjani na badae ilifahamika kuwa mchezaji huyo  aliyeafanya tukio hilo alikuwa ni  Jose Jimenez, ambaye alilimwa kadi nyekundu na Mwamuzi .
Livid: As the crowd goes mad, the opposing sides brawl near the dugout in reaction to the player's actions
Marching orders: The player, reported to be Jose Jimenez, was promptly sent off by the referee

 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers