HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 July 2013

JE SUAREZ ANAJUA AMBALO HATULIJUI KWA CHEKO HILI !!!Ok, Tazama amesema yeye mwenyewe kuwa anataka kulazimisha kuhamia arsenal  -Lakini hilo sio jambo la kufanya shindwe kutoa cheko katika mazoezi yanayondelea huko Bangkok.
Linaweza kuwa Cheko lake la mwisho  na anaweza kutaka mambo haya yaishe ndani ya saa arobaini nane .
Mchezaji huyo mwenye miaka 26 aliingia akiwa` mchezaji  mbadala dhidi Melbourne mechi ambayo liverpoool ilishinda na inawezekana asiwe mchezaji wa Livepool katika ratiba ijayo kati ya  Liverpool dhidi Thailand siku ya jumapili .

Na alionekana akiwa na furaha katika Mazoezi je anajua ambalo hatulijui?

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers