HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 July 2013

ARSENAL ITAMREJESHA FABREGAS KWA PAUNI MIL 25TU MAN U ITALIPA P50MIL KWANINI? SABABU NI HIII

Talented: Fabregas is among the finest midfielders in the world


Arsenal ipo tayari kupambana na  Manchester United dhidi ya mchezaji wake wa zamani  na kiungo wa timu hiyo  Cesc Fabregas wakati huu wa kiangazi .
Mchezaji huyu wa kimataifa wa Uhispania ni moja kati ya mawindo ya kocha wa Manchester united  David Moyes', na anatarajia kumuweka mchezaji ndani ya OT ,Man u inapata nguvu baada ya Gazeti la   Sportsmail's kuchapisha taarifa kuwa mchezaji huyo amewaambiwa marafiki zake kuwa angependa siku moja kwenda OT na anataka kuondoka katika ligi ya Uhispania maarufu kama   La Liga nakuhamia   Old Trafford.
Japokuwa kuna vikwazo hivyo kwa nahodha huyo wa zamani wa Arsenal , Arsene Wenger bado anaamini ya kuwa mchezaji huyo atachagua kurejea Emirates Stadium kwakuwa kwenye kandarasi waliyotiliana saini kuna kipengele kinachosema kuwa mchezaji atapewa kipaumbele kuuzwa Arsenal na sio timu nyingine .
Arsene Wenger  anaonekana kuvutia na kumrejesha mchezaji huyo kwani kwani atalipa pauni milinioni £25 tu , Lakini alielezwa kuwa anagependa kusalia mwaka mmoja zaidi akiwa na   Barcelona.
'Cesc Fabregas stats
Katika mkataba ambao waliingia na Klabu hiyo hiyo maarufu kama  La Masia mchezaji huyo ambaye kwa sasa anachea timu hiyo maarufu katika jimbo la  Catalan , Kama klabu hiyo itataka kumuuza timu nyingine basi , Barca itatakiwa kupokea offa ya  Pauni £50million kwa ajiri  Fabregas, lakini inaweza kulazimika kumuuza arsenal kwa pauni £25m. ,lakini itategemeana kama atataka kurejea tena London ya kaskazini  .

Kupunguza dukuku la kutaka kuondoka kwa mchezaji huyo , Kocha mpya wa Barcelona Gerardo 'Tata' Martino anaoneka wazi akisema kuwa Fabregas atakuwa sehemu ya timu msimu ujao  .
Anasema : 'Sitajihusisha katika akaunti za klabu ,Lakini ninaelewa kuwa klabu imeshakataa offa mbili na nina amini itakataa offa ya tatu , Nadhani itakataa offaya tatu  . na kwa maneno mengine Fabregas atabakia hapa .


Tussle: New Barcelona boss Gerardo Martino believes Arsene Wenger won't be able to land FabregasTussle: New Barcelona boss Gerardo Martino believes Arsene Wenger won't be able to land Fabregas 
: Kocha mpya wa Barcelona  Gerardo Martino anaamini kuwa  Arsene Wenger atatotaka kumanasa tena Fabregas

Maneno hayo ya Raia huyo wa  Argentinia yalimchagiza zaidi  makamu wa rais wa timu hiyo Josep Maria Bartomeu, ambaye amesema : 'Ni jambo la kawaida kupokea offa ya Fabregas kwa sababu ni mchezaji mwenye ubora wa hali yaa juu na hauzwi .'

Mabingwa wa ligi kuu ya uingereza wametoa offa ya pauni £30million ambayo tayari imekwisha kataliwa huku kocha wa utd David  Moyes aliviambia vyombo vya habari k Alhamisi iliyopita  bado wataepeleka offa nyingine Barca kwa maana ya offa endelevu.
Inaelewka ya kuwa  Fabregas anavutiwa na soka inayochezwa United na anataka kuona akijumuika na mchezaji  mwenzake wa Arsenal , Robin van Persie

Na anaamini kuwa itakwenda sambamba kuvaa medali kama aliyovaa mwaka jana ya La liga .Kijana huyo 26- alishinda kikombe cha  FA Cup na Ngao ya Hisani alipokuwa Arsenal .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers