HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 July 2013

Owen NAKUONYA Bale UHISPANIA SIO RAHISI !

Owen warns Bale 

Mchezaji wa zamani   na mshambuliaji wa Real Madrid , Michael Owen amemwambia Gareth Bale’s kuwa japokuwa kwa sasa kuna uwezekano wa yeye kwenda kujiunga na  Real Madrid. Owen anaamini kuwa Mchezaji huyo wa Tottenham atafanya jambo zuri kusaini katika klabu hiyo ya Real Madrid, lakini akamuonya kuwa nje ya kiwanja hakuna maisha rahisi ,Maisha ya uhispania sio Rahisi kama yanavyonekana hapa uingereza . " Nadhani kwa mchezaji yoyote yule ambaye ametembea fukwe za uingereza hadi uhispaniaMaisha ni tofauti sana kuliko vile tunavyo yaona kwa mara ya kwanza ,".

Akizungumza na shirika la utangazaji la  BBC, ambayo yalinukuliwa na Gazeti la moja pale uingerezaa ,la  Daily Mail, Owen amekiri kuwa ilikuwa ngumu kwa yeye kuzoea maisha ya uhispania: "Mambo ni hovyo sana nje ya kiwanja. Utamaduni wa Uhispania una muonekano rahisi na tofauti maishani ".

Mshambuliaji huyo wa uingereza, ambaye alikaa msimu mmoja tu katika Dimba la Bernabéu,  Amesema kuwa alipashusha hadhi hasa katika maisha ya kuishi na familia hasa unaposaini kuchezea " Real Madrid,".

"Nilipofika ,Nilitaka kununua Nyumba ili niishi na familia yangu, Lakini nilitumia miezi mitano kuishi hotel na familia yangu, Mke wangu na mtoto wa kike.Taratibu za kununua Nyumba uhispania zinakwenda taratibu sana  ," Owen Anamailiza .

ameandika kwenye kitabu cha kumbukumbu zake kuwa ilikuwa mbaya zaidi kwa mkewe na mwanae wa kike katika jiji la Bernabeu : "Nilijiskia Vibaya pale nilipokuwa narejea nyumbani niliwakuta wako wa pweke na wanalia.” aliongeza kwa kusema siku alipotua uhispania alijua kuwa atakaa msimu mmoja tu kutokana na mazingirza ya jiji hilo  ".

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers