HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 July 2013

TUNAWEZA KUSAJIRI MTU KABLA YA KOMBE LA EMIRATES KUANZA ''MUDA HUU KILA MTU YUPO SAFARINI ''


Tussle: New Barcelona boss Gerardo Martino believes Arsene Wenger won't be able to land Fabregas 

Kocha wa Arsenal  Arsene Wenger amesema kuwa hawapo karibu kukubali dili ya kumsainisha mshambuliaji   Liverpool  Luis Suarez.

Washika Bunduki hao wanaweza kuweka Rekodi ya Kumfanya mshambualiaji huyo wa Liverpool kulipwa zaidi katika historia ya klabu hiyo. 

Lakini  Wenger Anasema : “Hatupo karibu kumsainisha Suarez... Au Mtu mwingine yoyote  .Tuko tayari kufanya Mambo haraka lakini  mambo yote hayo  yatategemea na sisi wenyewe  . Tunajiandaa kusubiri. 

“Inaonekana kama tunaweza kuwa na mtu kabla ya Kombe la  Emirates Cup wiki ijayo  Kwa sababu kwa sasa kila mtu yupo katika maandalizi kwa hiyo ni ngumu kuwa karibu na watu .”

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers