HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 July 2013

VICTOR WANYAMA ASAINI SOUTHAMPTON

Victor Wanyama has signed for Southampton, according to Kenyan FA

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kenya , Kiungo wa kimataifa wa Kenya ndani ya Saa 48 atasaini katika klabu ya ligi kuu ya uingereza hapo kesho jioni  .
Lakini Shirikisho la Soka Kenya limeonekana kwenda mbali zaidi kwa kutangaza katika tovuti ya Shirikisho hilo : "Kuwa Mchezaji huyo wa kimataifa wa kenya atacheza katika moja ya ligi kubwa duniani ; Mchezaji huyo ambaye ni Nahodha wa Kenya   atatengeneza jina kubwa zaidi  Victor Wanyama Mugube amesaini katika klabu ya  Southampton. 
"Kama shirikisho tunayo furaha kubwa kuona mchezaji wetu anacheza katika ligi kubwa duniani na atakuwa balozi mkubwa zaidi katika soka la kenya .
"Kupitia uanamichezo wake na Uwezo wake wa Uongozi ndio maana Alichaguliwa Kuwa Nahodha wa Harambee stars .
"Amepewa heshima kubwa kwa kuchezea  Harambee Stars na Kila Mkenya anatakiwa kujivunia hilo ,Amesema   Nyamweya

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers