HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 August 2013

Arsenal IPO KATIKA MAZUNGUMZO YA KINA NA Bayern Munich KWA AJIRI YA UHAMISHO WA LUIS Gustavo
Arsenal ipo katika mazungumzo ya Kina kuhusu kumnunua kiungo wa  Bayern Munich  Luiz Gustavo.

Kwa mujibu wa Gazeti la The Mirror limesema kuwa  Arsenal iko mbioni kumsainisha mchezaji huyo kwa gharama ya pauni  £14million ili aondoke Bayern ­Munich’s mchezaji huyo wa raia wa Brazil  Luis  Gustavo. 

Washika Bunduki wa London wameongeza hatua moja mbele zaidi ya  Chelsea na  Wolfsburg katika kumsainisha mchezaji mwenye miaka  26..

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers