HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 August 2013

JE NI MANCHESTER HII AU SAIKOLOGOA TU VAN PERSIE 2WIGAN 0

Robin van Persie Amerejesha Heshima kwa  Manchester United's baada ya kuipoteza katika mechi za kujiandaa na msimu baada ya kufunga magoli ambayo yalimfanya  David Moyes ashinde Taji lake la kwanza akiwa kama mkufunzi wa wa timu hiyo .

Van Persie alifunga mapema na kuifanya Manchester united kuidhibiti  Wigan na kupatia  Ngao ya hisani kwa mara ya 20th .

Cha muhimu zaidi ilikuwa Medali ya kwanza kwa msimu huu hasa Moyes, ambaye anakazi kubwa ya kumrithi kocha aliye achia ngazi  Sir Alex Ferguson mwezi  May.

On form: Van Persie scored a double as Manchester United beat Wigan 2-0 at Wembley
Akiwa katika kiwango : Van Persie amefunga magoli mawili pale  Manchester United ilipoifunga  Wigan 2-0 katika Dimba la  Wembley
First of many? David Moyes holds aloft the Community Shield - his first trophy at Manchester United
Hii ni moja kati nyingi ? David Moyes akishika Ngao ya Hisani  - Ni ya kwanza akiwa na  Manchester United
Winners: Manchester United's Nemanja Vidic raises the Community Shield after his side's 2-0 victory

Mambo ya Msingi katika Mchezo

Man Utd: De Gea, Rafael (Smalling 16), Jones, Vidic, Evra, Zaha (Valencia 61), Carrick, Cleverley, Giggs (Anderson 67), Welbeck (Kagawa 83), Van Persie (Januzaj 84).
Subs not used: Evans, Lindegaard.
Goals: Van Persie 6 59.
Booked: Cleverley.
Wigan: Carson, Boyce, Perch, Barnett, Crainey, McCarthy (Dicko 86), Watson (Espinoza 71), McArthur (McCann 61), Maloney (Gomez 71), Holt (Fortune 61), McClean (McManaman 62).
Subs not used: Nicholls.
Booked: McArthur, Espinoza.
Attendance: 80,235.
Referee: Mark Clattenburg (County Durham).


Ni muda mrefu tangu Ferguson alipokua akishika hatamu katika viunga vya  Old Trafford huku ikishuhudia wachezaji sita ambao wameanza katika kikosi  Moyes' walikuwa hawajazaliwa pale  United ilipokuwa ikicheza mashindano kama hayo Leo imecheza bila ya kocha huyo kutoka scot ,Ni mwaka  1985 mkufunzi alikuwa ajaingia Kwenye Klabu hiyo , ambapo Alan Brazil alikuwa moja kati ya wachezaji wa akiba.
Moyes atakuwa na bahati ,Hasa kwa Van Persie,ambaye amefanya kazi ya Ziada ya kuisadia timu hiyo kuleta ushindi na kumfanya  Ferguson astaafu kwa Furaha zaidi.

Ilimchukua Dakika sita tu kuanza kazi ya kupachika mabao, baada ya kufunga kwa kichwa akipokea pasi kutoka kwa Evra's ambaye aliupeleka mpira kwenye kona ya chini ya goli .

Mpira uliomgonga James Perch uliisaidia United kupata bao la pili  katika kipindi pili cha goli lilofungwa na, Van Persie na lilitengenezwa na Danny Welbeck ambaye alipeleka pasi  kwa Van .
Kulikuwa na matatizo kidogo pale safu ya ulinzi ya  United , Baada ya  Rafael kuonekana kuchechemea katika dakika za mwanzo , Japokuwa  MBrazilia huyo hatoshiriki kutokana na adhabu katika mechi ya ufunguzi dhidi ya  Swansea jumamosi ijayo .
Here to spray: Manchester United's players celebrate their success in the season's tradition curtain-raiser
Wachezaji wa United wakishangilia ushindi
Early blow: Robin van Persie headed Manchester United into the lead in the sixth minute
Mwanzoni mwa Mchezo : Robin van Persie akifunga goli kwa Kichwa na kuipatia Manchester United goli la uongozi

Wakiwa wameshinda Mechi mbili tu katika mechi za majaribio na ,Hakuna  mchezaji mpya aliyesajiriwa kwa ajiri ya kuziba pengo la Wayne Rooney's ambaye bado haijafahamika mustakbari wake katika klabu hiyo ya japo yuko fit kupambana na  Scotland siku ya jumatano, Lakini akusafili kabisa kuja kusini mwa uingereza ,katika wakati huu wa mpito wa  Moyes' hakuna jambo ambalo limekuwa hadharani mpaka sasa japokuwa kila kitu kiko shwari .

Bado hakuja onekana, Pengo la Paul Scholes  ambaye ni moja kati ya wachezaji walioshinda mataji ishirini na kikosi hicho , 20th wakiongoza kwa Alama 11 , huku Wilfried Zaha, ambaye alijumuishwa  baada ya kununuliwa akitokea klabu ya  Crystal Palace katika kipindi cha pili .
Zaha alicheza leo , na amekuwa moja ya mmbadala kwa  United ilipokuwa icheza mashariki ya mbali .Advantage doubled: Van Persie net's Manchester United's second goal just before the hour mark
Race: Chris Smalling (left) competes with McClean to reach the ball
The heat is on: Manchester United and Wigan walk out onto the pitch at Wembley


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers