HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 August 2013

Rais wa Real Madrid:PAUNI €100m Ni pesa Nyingi , Hata kwa Gareth BaleRais  Florentino Perez amekataa kuitoa  Real Madrid's katika nia ya kutaka kumsainisha kijana kutoka Wales "
Money talks: will Real get their man this summer?
Peasa inazungumza : Je  Real watampata kijana wakati huu wa kiangazi  ?
Rais wa Real Madrid  Florentino Perez amesema kuwa  Real Madrid haitajitoa kwenye kitita cha pesa kilichotajwa  kwa ajiri ya kumnunua  Gareth Bale.
Akiongea na kituo cha Televisheni cha  ESPN TV huko uhispania  , Perez ametoa sababu kuwa kiasi cha pauni  €100million kwa ajiri ya mchezaji huyo hakiwezi kufikiwa .

"Tunaongea na watu wengi na tutaona yatakayoonekana katika katika makubaliaono yetu  , Kwa Mchezaji huyu  [Bale] na wachezaji wengine ,"Anasema Perez.

"Hatuzungumzii wachezaji wengine ambao wapo katika heshima yetu ,Klabu na Rias wetu, ambaye tulifanya mazungumzo naye msimu uliopita kuhusu kumsainisha  Luka Modric.
"Kama sizungumzii pesa . Si zungumzii kuhusu pesa. [Lakini] Pauni €100 million inaoneakana kuwa pesa nyingi ,na Ni pesa kwa kila kitu ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers