HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 September 2013

GARETH AMESAINI MIAKA SITA SANTIAGO BERNABEU

Gareth Bale Tottenham 
Real Madrid imesaini kandarasi ya miaka sita na winga wa kimataifa wa Wales  Gareth Bale akitokea Tottenham.


  Ameigharimu Madrid pauni Mil 85 na kuivunja rekodi ya Dunia ya mwaka 2009 pale Cristiano Ronaldo alipotokea   Manchester United na kujiunga  Real Madrid.

Kijana huyo mwenye miaka  24-alijiunga na Spurs kama beki wa kushoto akitokea SOTON kwa pauni Milioni £10m Mwaka 2007 na amaefunga magoli 26 msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers