HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 September 2013

SAA MOJA YA MWISHO ILIVYO BADILI WACHEZAJI KWENDA TIMU WASIZO TARAJIA

Banner

Wanasema siku ya mwisho imeboa ... Baada ya wakati wa kiangazi kutawaliwa na Fununu nyingi za usajiri na baada ya Kumalizika kwa uhamisho wa kishindo  -Toka  Gareth Bale Hadi  Luis Suarez, Wayne Rooney Hadi Marouane Fellaini -Dakika 60 za mwisho zimesababisha kugeuza kabisa maoni ya kuwania Ubingwa wa Ligi ya Uingereza .

Makocha wamepigana katika karatasi zao hadi majira ya saa saba usiku kwa saa za Tanzania na Saa nne usiku wa muda wa uingereza hasa GMT na saa Tano usiku kwa saa za kiangazi Uingereza Yaani BST Ulikuwa usiku wa kuamkia Jumanne pale ambapo muda ulipoonekana kuwa Mdogo, Huku baadhi ya hamisho zikifanyika kabla ya Dirisha kufungwa .
Dakika 60 Toka saa 10.30pm hadi 11.30pm kulitokea Hamisho tatu kuu katika ligi ya uingereza ambazo zilikuwa na kizungumkuti ndani yake -Huku nyingine zikiwa na mizani sawa -na zinaweza badili simulizi za ligi ya uingereza msimu huu  .
10.30pm... Mesut Ozil Anasaini  Arsenal
Arsene Wenger aliachana na Tabia yake ya ubahiri baada ya kutoa Pauni za Kiingereza Mil 40 na Kuvunja Rekodi ya Klabu hiyo  £42.5 baada ya kumsainisha kiungo wa  Real Madrid’s Mesut Ozil.
Mjerumani huyo ametia kandarasai ya miaka Minne huku akipokea ujira wa pauni laki moja na Arobaini kwa juma japokuwa  PSG walitaka kuaharibu sherehe lakini kijana huyo alielekea katika viunga  Emirates.

Star name: Ozil joins from Real Madrid, adding undoubted world-class quality to Arsenal's side


Kusajiriwa kwa mchezaji huyu katika klabu ya Arsenal kuna hitimisha lile Dukuduku kwa mashabiki kutaka wachezaji wa kiwango cha kimataifa ambacho walikuwa wa kililia kwa muda mrefu , Hasa baada ya kuifunga  Tottenham na inaonekana sasa kuwa hakutakuwa na shaka tena kwa klabu hiyo na wataakuwa washindani wa kweli katika ligi kuu ya uingereza na sio kama ilivyokuwa mwanzo kushabikia nafasi ya nne.
Mjerumani huyu ana aamini kuliko wanavyoamini wengine .kwa kusaini Arsenal, Anasema: ‘Nina Tazama Mbele katika maisha yangu mapya nikiwa na arsenal.
‘Niliishi vizuri katika miaka yangu mitatu pale Real Madrid, Sehemu amabayo nimeweza kubadilika na kuendelea kiakiri na kibinafsi .
‘Tumeshinda makombe matatu ,Lakini sasa natazama maisha mapya nikiwa na   Arsenal.


Celebrating: Wenger reiterated his stance of 'working hard' to bring quality to Arsenal's side
11.06pm... Marouane Fellaini Anasaini  Manchester United
Marouane Fellaini’s anatimiza ndoto ya kuungana mkufunzi wake wa zamani kule Manchester United baada ya kuungana na  David Moyes na alikuwa katika mizani ya kati hadi uhamisho wake ulipo kamilika .
Everton na United hawakuelewana mpaka walipokuja kuafikia kuwa walipane kiasi cha Pauni £27.5million.
Fellaini anatakiwa Kumshukuru  James McCarthy . Kwani kiungo huyo amesaini Dili ya Pauni  £13million kuelekea Goodison Park kuungana tena na Roberto Martinez Kabla Dirisha kufungwa ,huku mchezaji akiziiba nafasi ya iliyoachwa wazi na   Fellaini.
Done deal: David Moyes (right) finally sealed a move for Marouane Fellaini to join Manchester United
11.18pm... Fabio Coentrao Anaonekana kama anaisaini Manchester United...Lakiniii
Mpaka sasa bado hakijaeleweka kuhusu mchezaji kama uhamisho umekamailka ama bado lakini litafahamia tu pale wakuu wa maswala ya uhamisho watakapo kaa chini na kulifanyia utafiti swala hili ,Ni mlinzi wa Kushoto wa  Real Madrid Fabio Coentrao amabaye ameripotiwa akienda kwenda  Old Trafford kwa Mkopo wa Muda Mrefu.
Lakini halikuwa jambo la siri  Moyes alikuwa akimuhitaji mlinzi wa kushoto wa  Everton  Leighton Baines,lakini hakuna mshabiki ambaye atakubali tuhuma za  Coentrao.
Done in time? Fabio Coentrao's season-long loan deal to Old Trafford hangs in the balance


Japokuwa ,Hata saa za Asubuhi Ya Leo bado hakuja fahamika,Lakini kuna majadiliano yanaendelea kama uhamisho ulifanyika kwa wakati ama sivyo .
Maafisa wa La Liga wanathibitisha  Taarifa kabla, ilishatangazwa pia kukamilika kwa uhamisho wa Mkopo wa wa muda mrefu wa  mchezaji wa  Granada Guilherme Siqueira - ili waeze kumruhusu  Coentrao’s kuondoka .
Siqueria aliishia kujiunga na  Benfica,Huku dili ya Coentrao’s ikiwa ina ning'inia  ,maafisa wa  wakiwa wanaitazama taarifa yao ya mwanzzo  .

Kama itafanikiwa baada ya uchunguzi, Moyes atakuwa Mlinzi wa mzuri wa kushoto na aliyemuhitaji  - Hata kama kutokamilika kwa dili hiyo kunamashaka .
.
11.30... Romelu Lukaku Anasaini Everton
Hii ilikuwa na Maana ya kuwa msimu huu utakuwa wa  Lukaku’s . Baada ya kuonekana kuwa kijana huyu Anarejea  Chelsea baada ya Kwenda kwa Mkopo wa Muda mrefu kule West Brom, wengi waliona kuwa kijana huyu kutoka Belgie angeweza kutengeneza timu nzuri zaidi .
Japokuwa ,Majuma kadhaa katika msimu mpya , Lukaku amecheza mechi Tatu tu na zote akitokea kwenye Benchi na ya mwisho ilikuwa ya  Super Cup,Na kwa bahati mbaya kuishia kukosa mkwaju wa pernaty kuifanya  Bayern Munich kutwaa ubingwa - na sasa amekwenda  Goodison Park kwa mkopo wa Muda Mrefu .
Got the Blues: Chelsea's Romelu Lukaku has joined Everton on a season-long loan deal

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers