HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 March 2014

Andre Marriner ALICHANGIA KUINGUZA ARSENAL ?Andre Marriner alikuwa sehemu ya matokeo mabaya ya Arsenal pale ilipokutana na kisu kikali cha kocha kutoka ureno Jose Mourinho katika mechi ya Mchana leo hii katika ligi ya uingereza.

Katika kusheherekea mechi za Arsenal 1000th akiwaa kama kocha wa arsenal  ,Mwamuzi alimtoa nje kimakosa mchezaji Kiroen Gibss baada ya wenyeji kuja na moto wa hari ya juu katika dimba la Stamford Bridge.

Vijana wa Arsene Wenger's ndio walikuwa wakwanza baada Giroud kukosa goli kwa mpira uliookelewa na mlinga mlango wa  Petr Cech.
Lakini Samuel Eto'oo ndiye aliyeanzisha  balaa baaada kuipa chelsea goli la uongozi kwa mpira uliomshinda  Wojciech Szczesny kipa wa  Arsenal .

Goli la tatu la Chelsea's ndilo lilokuwa na utata zaidi .Baada ya kufanyiwa mabadaliko  ya Eto'oo na kuingia  Fernando Torres aliyempa pasi  Eden Hazard, ambalo shuti alilopiga lilmshinda Szczesny lakini mpira uliokorewa kwa mikono na  Oxlade-Chamberlain mithiri ya Kipa. Marriner aliwapa Chelsea  penati,  Lakini alifanya makosa kwa kumtoa Mchezaji amabaye hakufanya makosa Beki wa Pemben Kieran Gibbs Badala ya winga Chamberlain . 
Mpaka mwisho wa mchezo arsenal ilitandikwa mabao sita kwa sifuri lakini tukio linasubiriwa kwa hamu ni kitu gani ambacho kitafuata katika tukio la kadi nyekundu kwa kocha wa arsenal Mzee Wenger

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers