HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

4 March 2014

MWINA KADUGUDA ATOBOA SIRI SIMBA NA YANGA NA MAMILIONI YA TBL.(SIKIZA SAUTI )

 
 

SIKIZA SAUTI Moja kati ya watu  ambao hukiwaskia wanazungumza kwenye vyombo vya habari na unaweza kumdharau ni Miwna Mohamed kaduguda ambaye alikuwa katibu mkuu wa simba na alikuwa kaimu katibu wa tff  zamani FAT anazungumza maneno  ambayo siku ya tegemea na anatufundisha jambo kubwa zaidi katika diplomasia ya mpira wa miguu.

Unaweza kusema wakati mwingine kuwa uongozi wa Hasan Dalali ulikuwa mbaya zaidi lakini unaweza kuwa ulikuwa uongozi mzuri zaidi kushinda wa Ismael Aden Rage lakini kwa upande mwingine ukimtazama Kaduguda Anapozungumza na waandishi wa habari na baadae likatokea swali kumuuliza mwenendo wa klabu ya simba anaweza kukupa alama za msingi ambazo wewe unaweza kuzikataa kama anavyosema yeye mwenyewe unataka sawa hutaki sawa lakini ukweli ndio huo .

Pengine angekaa muda mrefu zaidi simba ingefika zaidi ya pale ilipo sasa kwani katika mambo ya msingi ambayo Kaduguda anayaeleza unaweza kusema anaelewa anachofanya na sivyo watu wanachofikiria hasa katika mkataba ambayo vilabu viwili vya simba na yanga vimesaini na TBL kupitia Kilimanjaro .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers