HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 March 2014

TARIBO WEST "NIGERIA ITAIMALIZA ARGENTINA "BRAZILMlinzi wa Zamani wa Nigeria Taribo West,  Ameitabiria Timu ya taifa ya Nigeria ushindi Dhidi ya Argentina  tai hao wakijani watacheza mechi hiyo Dhidi ya Albiceleste huko Brazil wakati wa Kiangazi
Katika michuano ya kombe la Dunia 
Mchezaji huyo wa zamani wa  Nigeria anasema kwa sasa sio tu kuwafunga bari kusonga Mbele  huko Rio 2014 katika michuano ya kombe la Dunia .
“Kama tumefungwa mara mbili lazima tuwe na aibu ,Nina aamini tumejifunza kutokana na uzoefu  ’ Mara mwisho tulicheza na  Argentina  2010 katika Kombe la Dunia Afrika Kusini .Hata Benchi lote linaelewa hari iliyo . Mechi dhidi ya Argentina wakati huu itakuwa Bora Kwetu itakuwa Bora ,” West aliuambia mtandao Goal.
Tai hao wakijani wamekuwa hawana Bahati dhidi  Albiceleste Tumeshindwa katika safari tatu za Kombe la Dunia  1994, 2002 na 2010. Lakini mchezaji huyo anaamini kuwa timu yake itafanya Vizuri huko  Brazil.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers