HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 May 2014

ETO'OO KUJIUNGA NA ARSENAL .

as_etoo 

Mchezaji anaetarajia kuondoka  Chelsea  Samuel Eto'o bado anataka kusaria kuishi katika jiji la London .

Eto'o anaondoka  Chelsea huku Mkataba wake ukiwa unafika tamati Mwezi ujao ,Lakini bado anaonekana kutaka kukaa ulaya  . 

Naam ,Gazeti la  The Sun linasema  Eto'o anamatumaini ya kuendselea kuishi London Msimu ujao na angependa kutua  Arsenal au  Tottenham.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers