HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 May 2014

WACHEZAJI WA TIMU YA UJERUMANI WAPATA AJARI ITALIA .

Italian Police close a street near Germany"s national football team"s training camp in San Martino in Passiria on May 27 

Wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Ujerumani ambao wamo kwenye kikosi cha kombe la Dunia kitakachokwenda 
            Brazil wamepata ajari kaskazini mwa italia   .                          .
Benedikt Hoewedes na  Julian Draxler walikuwa ni abiria katika  magari hayo mawili katika eneo ambao lilikuwa lipo mafichoni zaidi .
Moja kati ya magari hayo, lilikuwa likiendeshwa na Dereva mwenye ujuzi wa hari ya juu  Pascal Wehrlein , na liligonga watu waili karibu na hotel. ,huku moja kati ya watu waliogongwa wakiwa wameumia vibaya  .

Wachezaji hao hawakuumia katika ajari hiyo, na wamerejea katika mazoezi .
Gari nyingine ilikuwa ikiendeshwa na Dereva mashuhuri wa Mercedes Formula One, Nico Rosberg.
Hoewedes na Draxler wanacheza katika  German Bundesliga Schalke 04 na wamechaguliwa kwenda kushiriki michuano ya kombe la dunia itakayofanyika huko  Brazil.

Mercedes-Benz Motorsport wamesema : "watalishughurikia vizuri jambo hilo ili waweze kujua lilitokea katika mazingira gani ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers