HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 May 2014

LOUIS VAN GAAL KUTANGAZWA KOCHA WA UNITED J5 IJAYO

Manchester United Inajiandaa kumtangaza  Louis van Gaal kuwa kocha mpya wa Timu hiyo jumatano ijayo .

Kwa mujibu wa Gazeti la  Daily Mail limesema  Van Gaal anatarajiwa kuthibitishwa kuwa kocha wa United  jumatano hii na atakuja na jopo lake la kidutch katika dimba la Old Trafford.

Mkufunzi huyo mwenye miaka  62-ataungana na mchezaji wa zamani wa Uholanzi  Patrick Kluivert, Kocha wa Makipa Frans Hoek,na Kocha wa viungo  Jos van Dijk na mshauri   Max Reekers. 

Japokuwa,Ujio huo unaweza kumaanisha kuwa kile kizazi cha mwaka  92 kutokakuwa na sababu ya kuendelea kuwepo katika bencji la ufundi. 

  Utawala wa kocha wa Muda  Ryan Giggs  Nicky Butt, Paul Scholes na Phil Neville kazi zao kuwa mashakani , na wanaweza kupewa majukumu mengine katika timu za watoto . 

Na inategemewa kuwa  Van Gaal’s anaweza kuteuliwa kuwa kocha wa  United baada ya mechi ya mwisho Dhidi  Hull siku ya Jumanne usiku .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers