HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 June 2014

Klaas Jan Huntelaar AIPANDISHA NDEGE MEXICO

 Huntelaar scores from the spot in stoppage time
Klaas Jan Huntelaar amefunga kwa mkwaju wa penati ulio wasukuma nje ya timu ya soka ya Taifa ya Mexivo katika dakika za lala salama na kuipatia ushindi mzuri timu ya taifa ya uholanzi ambayo inakuwa timu ya tatu kuingia Robo fainali .
Waholanzi ndio walikuwa nyuma kwa Goli moja katika kipindi chote cha pili cha mchezo lakini zikiwa zimesaria dakika chache mpira kwisha Wesley Sneijder aliachia shuti kali lilomshinda mlinda mlango wa wa Mexico ,Ochoa . 

Lakini dakika mbili baadae kabla mpira kumalizikaArjen Robben aliofanyiwa faulo na Rafael Marquez, na kumuachia Mchezaji aliyetokea kwenye benchi Huntelaar kufunga Goli la Ushindi .
Giovani dos Santos ndiye aliyeipatia  Mexico Goli la kuongoza mara baada ya kupiga shuti la  Yard 25-. 

Louis van Gaal's na timu yake sasa watapambana na  Costa Rica au  Greece katika robo fainali .
Aidha mechi hii kulishuhudiwa kwa mara kwanza wachezaji wakipata mapumziko ya Dakika Nne kupata maji kutokana na Joto kali linaloendelea Nchini Brazil 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers