HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 June 2014

UISPANIA YAKUTANA NA MWENYE MPIRA YAPIGWA TANO

Spain v Netherlands        
Timu ya soka ya Taifa ya Uholanzi imeaidhibu mabingwa wa Dunia na mabingwa watetezi wa michuano kwa hiyo kwa kuwabamiza mabao matano kwa sifuri .

Mkwaju wa penati wa Xabi Alonso's ulipatia  uSpania Ngoli la kuongoza kwa  baada ya   Stefan de Vrij kumfanyia faulo  Diego Costa lakini  Robin van Persie alisawazisha kwa kichwa maridadi cha juu kwa juuu.

 Arjen Robben alimpiga chenga Gerard Pique ndani ya Box na kupiga shuti na  De Vrij aliunganiosha kwa kichwa na kuifanya uholanzi kuongoza kwa bao tatu moja .
Van Persie alifunga Goli jingine na baada ya kumpora mpira Iker Casillas , Huku  Robben's akitumia kasi kubwa kuimaliza ngome ya uispania na kufunga bao la tano.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers