HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 July 2014

BRAZIL NI UROJO MTUPU ADHIRIKA TENA ,BRASILIA

Brazil v Netherlands
 
Timu ya soka ya Taifa ya Brazil's Imemaliza michuano ya kombe la Dunia vibaya mara baada ya kubamizwa mabao matatu kwa sifuri katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya uholanzi .

Robin van Persie alifunga goli la kwanza kwa mkwaju wa penati mara baada ya Roben kuangushwa na Thiago silva  katika Eneo la hatari .

Daley Blind aliongeza matatizo kwa Brazil baada ya kufunga bao la pili wakati David luiz alipookoa mpira Vibaya na kukumkuta Mfungaji.

Brazil ilionekana kurejea mchezoni lakini mambo yalizidi kwenda vibaya katika dakika za mwisho Georginio Wijnaldum aliunganisha klosi toka wingi ya kulia na kufunga bao la tatu na kuhitimisha kabisa ndoto za brazil kutamba katika michuano ya Kombe la Dunia .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers