HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 July 2014

UJERUMANI YAVUNJA MWIKO AMERICA KUSINI YAIUA ARGENTINA YATWAA KWA MARA YA NNE KOMBE LA DUNIA

Timu ya soka ya Ujerumani imevunja mwiko wa kuchukua kwa mara ya nne Kombe la Dunia  tena katika ardhi ya Brazil mara baada ya Mario Gotze's kuifungia ujerumani katika Dakika za nyongeza na kuipatia Ushindi za Dhidi ya  Argentina katika  michuano hiyo iliyofika tamati usiku wa manane kwa saa za afrika mashariki na kufika tamati leo hii .
Mchezaji wa Ujerumani  Andre Schurrle's akitokea kwenye Benchi na kupiga Krosi na kumkuta mfungaji na kutuliza kwa kifua na kumalizia mpira kwa Volley huku zikiwa zimesalia dakika saba mpira kumalizika
Mario Gotze celebrates after scoring for Germany
Timu zote Mbili zilipoteza nafasi katika Dakika za kawaida ,Huku wachezaji wa Argentina's Gonzalo Higuain na  Lionel Messi wote walishia kupiga mashuti nje ya goli.
Benedikt Howedes alipiga kichwa kilichokwenda kugonga mlingoli wa Goli katika kipindi cha kwanza, lakini ni Gotze Ndiye aliyelipua Shamra shamra za kwa wajerumani 
World Cup final 
World Cup final
Mshindi wa Kombe la Dunia na Mchezaji wa Brazil's Pele siku zote anapokuwepo ni lazima camera zimuangazie - akiwa pamoja na  Kaka na Mchezaji wa Zamani wa Uingereza   David Beckham.
AKNOWLEDGE BBC PICTURES

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers