HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 July 2014

UHOLANZI YAPONZWA TENA NA BAHATI ARGENTINA (BBCSWAHILI PENATI RADIO)

Sergio Romero



Argentina itapambana uso kwa uso na Ujerumani katika fainali ya kombe la Dunia siku ya jumapili baada ya kuifunga Uholanzi kwa mikwaju ya penati katika jiji la   Sao Paulo.
Nafasi kadhaa zilipatikana katika muda wote wa dakika mia moja na ishirini , Argentina's kupitia kwa  Gonzalo Higuain alipata nafasi nzuri lakini alipiga mpira uliokwenda nje ya lango na kugusa nyavu za nje katika muda wa kawaida. 
 Netherlands v Argentina
  Sergio Romero alipiga shuti liliokolewa na beki  wa uholanzi  Ron Vlaar na  Wesley Sneijder walikosa  penati na baadaye   Maxi Rodriguez kufunga .
Penati yake inaipeleka Argentina katika mchezo wa fainali utakaochezwa jumapili katika uwanja wa Maracana na hii inakuwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 90 ambapo timu hizi zilikutana na ujerumani kutwaa kikombe  1990.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers