HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 July 2014

JAMES RODRIGUEZ ASAINI MIAKA SITA MADRID

Real confirm Rodriguez arrival

Real Madrid wamekubari kumsainisha mshindi wa tuzo ya kiatu cha Dhahabu katika kombe la dunia  kinachodhaminiwa na  adidas  James Rodriguez kutoka  Monaco, Mabingwa hao wa ulaya wametangaza hilo leo . MColombia huyo amekubari kusaini kandarasi ya Miaka sita na alitarajiwa kufanyiwa vipmio vya kiafya asubuhi na kutangazwa jioni ya leo .

"Real Madrid imefikia makubariano  na Monaco kumhamisha   James Rodriguez, ambaye ataitumiaka klabu hiyo kwa misimu sita ijayo," Taarifa kutoka Tovuti ya  Real Madrid ilisomeka namna hiyo . "mchezaji huyo ataoneshwa kwa mashabiki leo jumanne ,  22 July, saa  20:00 (Kwa saa za Uipsania ),Na atatambulishwa katika sehemu Maarum inayofahamika kama   Santiago Bernabeu's presidential box. na baadae atakwenda katika Dimba la Sntiago akiwaa amevaa jezi  Real Madrid na atazungmuza na waandishi habari hapo baadae ."

Usajiri wake unakuija mara baada ya juma moja tu kusainishwa kwa Mjerumani
 Toni Kroos, akitokea  Bayern Munich ya Ujerumani.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers