Ukiliangilia Kundi la gangbe brass band basi kwa mtanzania wa kawaida la atakumbuka band maarufu ya muziki wa kitanzania tatu nane Kundi ambalo lilikuwa liktangaza utamaduni wa kitanzania katika nchi za ulaya na asia na America wakiimba katika makabila tofauti ya kitanzania ndiyo wanacho fanya sasa hivi vijana hawa kutoka Benin wakiwa katika ziara nchini Tanzania chini ya ubalozi wa ufaransa kufanya tamasha ambalo limefanyika katika ukumbi wa Twetulobo jijini Dar es salaam

Akizungumzia ujio huo mratibu wa Alliance Francaise Mr Martin Didier dhumuni kubwa ni kutangaza utamaduni wa Benin katika kanda zote afrika Kundi hilo ambalo litafanya tamasha katika ukumbi wa twetulobo

kundi la gangbe brass band likitoa kionjo ukumbi wa habari maelezo jinsi linavyo fanya kazi

Kilimatinde selemani akiwa na mratibu wa alliance francaise moja ya wanamuziki wa tanzania ambao watashiriki tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment