Hivi ndivyo mambo ambavyo yalivyo katika viwanja vya gymkhana club kwani wale ambao wamezoa kuona academy za soka baasi hata ndugu zetu ambao wanacheza tenis huwa na mafaunzo ya aina hiyo kama unavyo kuona vijana hao wawili Imran manji(12) na faizar manji (11) wakiwa katika mafunzo katika viwanja vya Gymkana hii leo .

Imran na Faizar Manji wakiwa katika picha ya pamoja na kocha wao Morris Leornard

Faizar Manji akipiga mpira baada ya kupata mafunzo kwa kocha wake morris leornad.

Imran Manji akisikiliza mafunzo kutoka kwa kocha wake

Imran manji akipiga mpira baada ya kupokea mafunzo kwa kocha wake morris leornad
Namna Hii!!

Morris leornad akionyesha jinsi ya kupiga mpira katika mchezo wa tennis
Hata hivyo Morris amewaasa wa tanzania wenye asili ya kiafra kuja kucheza teniss na kuwaaambiwaa kuwa mchezo huo sio wa matajiri hata wao wanaweza cheza.
No comments:
Post a Comment