Waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar MhAli Juma Shamhuna akihutibia wananchi katika uzinduzi wa sekta ya Utumishi wa UMMA
Waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar akipewa maaelezo katika banda la usimamizi wa mazingira NEMC
Inaonekana Mh Shamhuna anauliza vipi hii nguo mnauza alipotembelea moja kati ya mabanda katika viwanja vya mnazi mmoja hii leo katika wiki ya maonyesho ya sekta ya UMMA
Waziri kiongozi akipewa maelekezo ya jinsi mbegu zinavyohifaziwa kabla ya kutumika katika Banda la wizara ya kilimo katika maonyesho ya sekta ya UMMA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.
No comments:
Post a Comment