Vermaelen was Ajax club captain last season
ni kijana mwenye miaka 23 amesajiriwa kwa pauni mil 10 beki wa huyo wa kati amenza kuichea ya taifa mwaka 2006 arsene wengwer amethibitisha hilio alipokuwa akiongea na tovuti ya klabu yake ameichezea ajax 143 akiwa na miaka kumi nane klabu ya arsenal imenunua mlinzi huyo kutokakna na kuruhusu magoli mengi ya kufungwa msimuu huu
No comments:
Post a Comment