
Tamasha la kumi na mbili la filamu lianataji kufanyika zanzibar kunzia 27 hadi 5July huko stone town. akizungumza na waandsihi wa habari katika ukumbi wa aliance francaise CEO Martin Mhando amesema jumla ya Filamu 50 zitaonyshwa kwenye kumbi mbalimbali katika kumbi nne tofauti ,pemba.Dar es salaam,Bagamoyo, na vijiji vya zanzibar vilevile kutakuwa na filamu za maonyesho ya watoto .
Martin Mhando mkurugenzi wa ZIFF akizungumzia tamasha hilo mbele ya waandishi habari kulia kwake ni hasan mitawo director wa tamasha hiloTamasha hilo litasindikizwa na wanamuziki mbalimbali kutoka india,uholanzi,marekani
mexico vilevile watakuwepo wanamuziki kutoka tanzania, uganda,kenya na afrika ya kusini. lengo ni kukuza sekta ya filamu na kuleta ushindani
kutoka kushoto ni Boni temba Banarbas Amin , eziker hayupo pichani wa THT na Henry Mzee hayupo pichani wa APPLE MUSIC CROSSROAD walipokuwa wakitumbuiza katika uzinduzi wa ZIFF katika ukumbi wa alliance Francaise
Tamasha hilo litahudhu;iwa na Msanii maarufu Dany Groove kutoka marekani na Horacio Franco wa kutoka mexico na mwaka huu mshindi wa filamu hizo atapata donge la shs dollar 500
No comments:
Post a Comment