mganga mstaafu jitto ram akifafanua jambo pembeni yake ni jane mazigo mwaklishi kutoka ofisi ya rais
Mfuko wa maadili ya uma unaandaa mwongozo wa wa kusaidia kazi ya kuboresha utawala kwa kuzingatia shughuri za mradi wa uwajibikaji (accountability,Transparent and integrity fedha na sekta ya sheria vilevile hutaboresha sekta ya mbalimbli ikwemo za afya na inaanda mwongozo wa uwajibikaji katika sekta mbalimbali ikiwemo afya. Ambayo imekuwa sekta yenye matatizo hasa kwa kutoa huduma za matibabu na vilevile kwa wahudumu.
No comments:
Post a Comment