BOTI IMENASA LEO NYINGINE IKIUNGUA
BOAT ILIYOANDIKWA RESCUE UBAVUNI IMENASA KWENYE ENEO AMBALO KUNA MELI AMBAYO ILIZAMA MUDA MREFU KWA MAANA HII INAMAANISHA KUWA NAHODHA WA MELI AKUELEWA MNARA ULIOPO MITA HAMSINI KUTOKA KWENYE MELI ILIYO ZAMA NAFIKIRI MNARA HUO UNGEWEKWA KWENYE MELI HUSIKA NASIO MITA HAMSINI MBELE.
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment