HUYU NI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIUNDO MBINU OMARY CHAMBO AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA ENEO LA TUKIO PALE FERI JIJINI DAR ES SALAAM MELI YA MV PEMBA AMBAYO NI MELI YA MIZIGO ILIKUWA IKIUNGUA LEO ASUBUHI BAADA KUPATA SHOTI WAKATI WA MATENGENEZO
HII NDIYO MELI YENYEWE YA MV PEMBA ILIYOPTA MKASA WA MOTO.
No comments:
Post a Comment