Huu ni moto ambao unawaka kwenye meli hii ya Mv Pemba kwani kadri muda ulivyosizidi kwenda ndivyo mto ulivyozidi kuwaka kutokana muda ambao ilkuwa ukituma kwani maji yalipokuwa yakiisha ilalazimika kujazwa gari tena kwani kutokana na gari kuwa gari nyingine ilikuwa haina uwezo kubeba gari nyingine kwa kuwa Mv Pemba ingeshindwa kuhimili mzigo.
Moja kati ya wafanya kazi amabao walikuwa wakifanya kazi ya ziada wakizima moto huo kama unavyoweza kuona kwenye picha.
No comments:
Post a Comment