ISIMILAH URITHI PEKEE AMBAO MUNGU KATUACHIA
Hakika Ardhi ya Tanzania ni ya kujivunia sana hili ni bonde la Isimilah ambapo ndni ya bonde hilo kuna mabo mengi sana amabayo yanaweza kuwa kivutio cha utarii kwa tanzania kuvutia wageni kutoa nje kuja kutazama kuna mambo mengi ambayo mungu ameweka hapa Bonde hili lipo Mkoa wa Iringa
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment