HUYU NDIYE MDOGO WA SHUJAA WA WATANI ZANGU WAHEHE MKWAWA SHUJAA
Picha ya Mkwawa shujaa toka uheheni kaka mkubwa wa adam sapi mkwawa ndiye aliyewatetea wahehe na kuwaongoza katika vita dhidi ya mjerumani hapa watani walijitahidi lakini punguze kula ile nyama
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
Naomba nisahihishwe kama nimekosea. Huyu pichani ni Adam Sapi Mkwawa na si Shujaa Mkwawa aliyewatetea watani zako dhidi ya Mjerumani
ReplyDelete