VIFA ASILIA
Vifaa Asilia vikiwemo vijiko na miko ya kupikia ugali au wali na chungu chake cha kuwekea vitu hivyo kutoka mikoa ya kusini katika tamasha la makuya ambalo litafanyika mikoa hiyo ya kusini badaa kunzia tar 14hadi16 mwezi wa nane katika maenyesho ambayo ni moja kati ya vionjo ambavyo vinapatikana katika ukumbi wa aliance francaise
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment