Makamu wa rais wa BFT Michael Changalawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya michuano hiyo kama unavyoweza kumuona mtangazaji wa TBC1 Evance Mhando akiwa ana wajibika.
Hapa ndipo patakapotumika katika michuano kwani mabondia thelathini watachaguliwa na kocha mpya wa nguma Raia ya CUBA baadae watachujwa kwa mujibu wa makamu wa Rais BFT Michael Changalawe
No comments:
Post a Comment