Afisa habari wa klabu ya soka ya simba sports CLUB cliford Mario ndimbo ameomba ushilikiano na waandishi wa habari , amesema hayo leo alipokuwa akizungumzia kuondoka kwa timu ya simba kwenda Mkoani Ruvuma Katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Tanzania Dhidi ya majimaji ya songea vilevile ameomba shilikisho la soka la Tanzania TFF kuangalia ubora wa uwanja wa majimaji kama unakidhi viwango vya Kimataifa ili kuondoa usumbufu wa wachezaji kupata majeruhi kwani wachezaji wa simba wamezoea kucheza katika viwanja vyenye ubora wa hali ya juu.
No comments:
Post a Comment