Hii ni misa ya kumuombea aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya tanzania na kocha msaidizi wa `simba super coach mziray misa iliyofanyika katika makaburi ya kinondoni
Rais wa shirikisho la kandanda la tanzania leodegar chila tenga akiuaga mwili wa marehemu super coach mziray sylersaid.
Mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni naye akiuga mwili wa super coach mziray katika mazishi yaliyofanyika leo hii katika makaburi ya kinondoni.
No comments:
Post a Comment