MTWARA IPO JUUU
 Mbunge wa Mtwara Mjini  na Mjumbe  wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mh Mohamed Senani akiwa na mwanawe katika Ofisi za Pride fm studio kinondoni jijini DSM alipokuwa akiongea na moja kati ya wamiliki wa radio hiyo hayupo pichani kuhusu maendeleo ya mkoa wa Mtwara
 
 
 
 
          
      
 
 
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
  
No comments:
Post a Comment