Washika bunduki wa London ARSENAL watapambana na Celtic ya uskoch katika mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.Arsenal wameangukia kwa Celtic baada ya kufanyika kwa Droo ya hatua ya mtoano hii leo huko mjini Lnyon nchini Uswiz.Michezo mingine ya hatua hiyo ni kama ifuatavyo;
FC Sheriff v Olympiakos
SV Red Bull Salzburg v Maccabi Haifa
FK Ventspils v FC Zurich
FC Copenhagen v Apoel Nicosia
Levski Sofia v Debrecen
Lyon v Anderlecht
FC Timisoara v VfB Stuttgart
Sporting v Fiorentina
Panathinaikos v Atletico Madrid
Michezo hiyo itachezwa kati ya August 18/19, na michezo ya marudiano itachezwa kati ya August 25/26.
No comments:
Post a Comment