Mwenyekiti na Msemaji mkuu wa (THM) Khadija mwanamboka kizungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu hafla hiyo ambayo itafanyika katika ukumbi wa greak club uliop upanga jijini DSM
Benki ya taifa ya biashara(NBC) ndio watakao kuwa wadhamini wa kuu wa hafla ya chakula cha mchana itakayo fanyika tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2009 itayaoandaliwa na shiliskisho la wabumifu wa mavazi ya Tanzania,Tanzania mitindo House (THM) kuliwezesha shilikisho hilo kuwajengea watoto yatima uwanja wa Michezo na Burudani eneo la kigamboni jijini Dar es salaam. Taarifa hiyo ilitolewa na khadija mwanamboka Mwenyekiti na msemaji mkuuu wa THM naye Mshauri wa masiwaliano wa Benki ya NBC Robi Matiko alisisitiza msimamo wa benki hiyo kwenye Masuala ya malezi Bora ya watoto na tumekuwa mstari wa mbele kusaidia miradi mbalimbali inayohusu malezo bora ya watoto ambao pia inajumuisha watoto yatima na tunataka wakue wakifahamu kwamba tunawapenda na tunawajari na kuwahakikishia kuwa watafanikiwa katika maisha yao ya baadae.
Khadija mwanamboka akionyesha mchoro wa jengo hili utakavyoonekna baada ya kukamilika
No comments:
Post a Comment