DALADALA NA UVUNJAJI SHERIA
Angalia daladala hii inapakia sehemu ambayo sio kituo sahihi cha mabasi hii si salama hata kidogo mbele ya hotel ya New africa na Pembeni ya benki ya NBC tawi la Co-oporate na jamaa anapanda kama kawaida tena bila wasiwasi
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment