Moja kati ya waendeshaje baiskeli waliokwenda tanga na katibu wa chama cha baiskeli mkoa said kengele wa DSM
Said kengele anasema kwakweli kuna haja ya kuyarekebisha baadhi ya vivutio kwani tumeona baadhi ya mapango mkoni tanga kwakweli hali bado sio nzuri kwani watarii watakapokuja inabidi kuboresha kwani hata watarii toka nje wapate raha ya kuona tanga kuna nini kwani hata wahudumu wa makumbusho yale bado hali yao sio nzuri wakirebisha mambo yatakuwa safi
No comments:
Post a Comment